MFUKO WA MAFAO YA KUSTAAFU
RETIREMENT BENEFITS FUND
Menu

Mobile Contribution Services

Vodafone M-PESA NAMBA YA GEPF NI 700200
Hatua za awali ni kupiga *150*00# kisha chagua MPESA na kisha chaguo la nne MALIPO, chagua namba tatu lipa bili yako ikifuatiwa na namba 2 majina mengine. Kisha chagua GEPF namba 4 halafu ingiza namba ya GEPF na namba yako ya uanachama ya GEPF ikifuatiwa na kiasi unachoweka na namba yako ya siri ya MPESA.

Tigo PESA NAMBA YA GEPF NI 700200

Hatua za awali ni kupiga *150*01# kisha chaguo la nne MALIPO, kisha Bonyeza 3 LIPA BILI yako kisha Bonyeza 1 weka namba ya GEPF ,kisha namba yako ya uanachama ya GEPF (NAMBA YA KUMBUKUMBU YA MALIPO ) ikifuatiwa na kiasi unachoweka na namba yako ya siri ya Tigo pesa .