MFUKO WA MAFAO YA KUSTAAFU
RETIREMENT BENEFITS FUND
Menu

Mkopo wa Kujikimu Kimaisha: “Toka kimaisha Na GEPF”

Nani anayepaswa kupata mkopo wa Kujikimu

Mwanachama yeyote aliyesajiliwa na Mfuko kutoka katika sekta ya umma au binafsi na hasa waajariwa wapya kwani mara wanapoanza ajira wanakutana na changamoto nyingi za maisha. Mkopo huu ni mahsusi ili kuwawezesha wanachama wapya kupambana na changamoto za maisha.
 

Masharti ya kupatiwa mkopo wa kujikimu

v  Awe amechangia katika mfuko kwa kipindi kisichopungua miezi 5

v  Kiwango cha juu cha mkopo ni mishahara isiyozidi miezi 3.

v  Mikopo kurejeshwa kupitia makato ya mshahara kwa kipindi cha miaka 2 au chini ya hapo.
 

Faida za Mkopo huu

v  Mkopo wenye riba nafuu zaidi katika soko la fedha

v  Kuanzisha miradi ya maendeleo

v  Kuendeea kujiimarisha kimaisha

 

Download Application Form