MFUKO WA MAFAO YA KUSTAAFU
RETIREMENT BENEFITS FUND
Menu

Mkopo wa Elimu: “Kamata Madigirii na GEPF”

Ni nani anayepaswa kupatiwa Mkopo wa Elimu?

Ni mwanachama yoyote aliyesajiliwa na Mfuko aliye ajiriwa katika sekta ya umma au binafsi na ambae angependa kujiendeleza kielimu kuanzia ngazi ya cheti, stashahada, shahada ya kwanza, shahada ya uzamili hadi shahada ya uzamivu.
 

Masharti ya kupata mkopo wa Elimu

v  Awe amepata nafasi katika chuo husika

v  Awe ameruhusiwa na mwajiri kujiunga na masomo husika

v  Awe amechangia katika mfuko kwa kipindi kisichopungua miaka 2

v  Mkopo kurejeshwa kupitia makato ya mshahara kwa kipindi kati ya miaka 2 – 5
 

Faida za mkopo wa Elimu

v  Fursa kwa mwanachama kujiendeleza kielimu

v  Riba nafuu na kinga dhidi ya janga la kifo

 

Download Application Form