MFUKO WA MAFAO YA KUSTAAFU
RETIREMENT BENEFITS FUND
Menu

Fao la Uzazi: Lea Kwa ufahari Na GEPF

Nani anayepaswa kupatiwa Fao la Uzazi?

Fao la uzazi hutolewa kwa mwanachama wa GEPF pale anapojifungua ili kumpunguzia gharama mpya zinazotokana na kujifungua. Fao hili hutolewa kama pesa taslimu ambapo Mwanachama hupatiwa 140% ya mshahara wake bure bila merejesho wala kukatwa kwenye michango yake..

 

Masharti ya kupata Fao la uzazi

 • Mwanachama husika lazima awe mwanamke.
 • Mwanachama awe amechangia katika Mfuko sio chaini ya miezi 18
 • Fao hili litalipwa kila baada ya miaka 3 isipokua pale tu ikitokea kuwa mtoto amefariki wakati wa kabla ya miaka 3.kuzaliwa au
 • Maombi yawasilishwe ndani ya siku 60 baada ya kujifungua.
 • Barua ya mwanachama kuomba fao la uzazi iliyopitishwa kwa mwajiri
 • Barua ya mwajiri/mkuu wa kituo chake cha kazi  kuthibitisha kujifungua ikiwa na tarehe ya kuzaliwa mtoto na namba ya cheti cha kuzaliwa
 • Nakala ya cheti cha kuzaliwa kilichothibitishwa kisheria
 • Hati ya mshahara ya mwezi husika wa kujifungua iliyothibitishwa na mwajiri
 • Nakala ya kadi ya kliniki ya mama na mtoto vilivyothibitishwa kisheria

 

Faida ya Fao la Uzazi

 • Mwanachama atapatiwa 140% ya mshahara wake wa mwezi aliojifungua. Pesa hii huwa inatolewa bure kwa mwanachama bila kurudishwa.
 • Kumpunguzia mzazi gharama mpya zinazotokana na kujifungua.