MFUKO WA MAFAO YA KUSTAAFU
RETIREMENT BENEFITS FUND
Menu

GEPF Benefits & Schemes

Jikwamue Scheme

Mpango maalum kwa madereva wa boda boda, bajaj, na daladala kumiliki boda boda kupitia mikopo ya riba nafuu na kuwajengea utamaduni wa kujiwekea akiba ya uzeeni.




Learn More
Mpango wa Hiari

Mpango maalum kwa waliojiajiri (Wajasiriamali) na waajiriwa wa kujiwekea akiba kwa ajili ya kukabiliana na changamoto mbali mbali kama ada za shule, Matibabu, kodi n.k na kujiwekea akiba ya uzeeni.


Learn More
Fao la Uzazi

Hutolewa kwa mwanachama pale anapojifungua kwa kumpatia 140% ya mshahara wake BURE bila marejesho ya aina yoyote ili kumpunguzia mzazi gharama mpya zinanzotokana na kujifungua.



Learn More
Mkopo wa Elimu

Fursa ya kipekee kwa mwanachama wa GEPF kujiendeleza kielimu kuanzia ngazi ya stashahada, shahada ya kwanza hadi shahada ya uzamivu (Ph.D.)




Learn More
Mkopo wa Kujikimu

Fursa kwa wanachama wa GEPF waliojariwa kupata mkopo wenye riba nafuu mara baada ya kuthibitishwa kazini kwa ajili ya kutatua changamoto mbali mbali kama kodi, kununua samani za ndani n.k



Learn More
Daka Mkwanja na GEPF

Ni mwanachama yoyote aliejiunga na Mfuko kutoka katika sekta ya umma, Serikali Kuu na Serikali za Mtaa ambao ndio ajira zao za kwanza.




Learn More